SKENDO YA RACHEL KUTOKA NA TID: RACHEL AFUNGUKA by nasanyo fortnine
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat
maarufu kama Rachel, amekanusha uvumi kuwa anatoka kimapenzi na mkongwe
wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’.
Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), aliyetamba na kibao chake cha
Kizunguzungu, alisema maneno hayo siyo mageni kwake, lakini ukweli ni
kwamba hawana uhusiano wa kimapenzi, isipokuwa amemuweka katika mipango ya kuja kufanya naye kazi msanii huyo mkongwe aliyetamba na kibao cha zeze rachel asema katika maisha yake ya kila siku hategemei vitu vya kuhongwa na wanaume amesema anatumia pesa zake anazozipata katika kazi ya muziki kujikimu katika mahitaji yake binafsi



0 comments: