IMAMU AIBA NGURUWE HABARI KAMILI HII HAPA by tuntu baby

  • KATIKA hali isiyo ya kawaida, aliyekuwa Imamu wa Msikiti wa 
      Kisesa uliopo Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Salum Yusuph,
     amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa
     akiwa ameiba nguruwe.
  • Tukio hilo ni la kushangaza kwani kwa mujibu wa imani ya dini ya Kiislamu
    inakataza ufugaji na matumizi ya nguruwe.Imamu huyo anayeheshimika sana wilayani
    Magu,
     alinaswa na ‘kitimoto’
  •  hicho maeneo ya makaburini akiwa katika harakati za kumchuna baada ya
             kumchinja tayari kwa kitoweo.

0 comments:

Copyright © 2014 NASANYO BLOG