ALICHOSEMA WEMA NI HIKI HAPA JISOMEE MWENYEWE by tuntu baby
- MREMBO anayetamba katika tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu amewataka
- waandishi wa habari na wadau wa kazi zake kuacha kumuingilia uhuru wake binafsi
- hasa katika masuala ya mapenzi.
amerudiana na aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni staa wa muziki wa Bongo fleva nchini,
Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’.
- Wema kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliandika kuwa hapendi watu wanavyoingilia
- mapenzi yake na Diamond hayo ni maisha yao na wao ndio wanaamua kuachana au
- kuendelea mtu mwingine hana nafasi ya kuongea wala kusapoti.
chukua jembe ukalime lakini wabongo hawalijui hilo watu wakigombana ndio wanashika
bango huo sio ustarabu hata kidogo,” aliandika mrembo huyo ambaye alikuwa Miss Tanzania
mwaka 2006.
0 comments: