VIDEO; KATIKA PICHA PROF JAY FT DIAMOND -KIPI SIJASIKIA JIONEE UTENGENEZAJI WA VIDEO HII by nasanyo fortnine


Msanii mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule 'Prof Jay' jana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha staa Diamond Platnumz inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikichukuliwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Adam Juma kutoka Next Level.
Prof Jay akiwa na Prodyuza, P-Funk Majani,
DJ Choka akiingia mahakamani.
Taswira mbalimbali za mastaa waliomo katika video hiyo.
Jini Kabula & DJ Choka.
by nasanyo fortnine

0 comments:

Copyright © 2014 NASANYO BLOG