MELI YAZAMA NA WATU ZAIDI YA MIANNE (400) HUKO KOREA KUSINI habari kamili by nasanyo fortnine

Meli ya Korea Kusini iliyokuwa
imewabeba zaidi ya abiria mianne ilizama kusini mwa pwani ya nchi
hiyo Jumatano asubuhi
hiyo Jumatano asubuhi

Walioshuhudia ajali walisema kuwa
walisikia kishindo kikubwa wakati meli hiyo ilipoanza kuzama

Wengi wa watu waliokuwa katika
meli hiyo walikuwa wanafunzi waliokuwa katika ziara ya kisiwa kimoja
nchini humo
nchini humo

Watu wawili wameripotiwa kufariki
ingawa shughuli ya uokozi ingali inaendelea. Wengine zaidi ya miatatu
bado hawajulikani waliko
bado hawajulikani waliko

Wazazi, jamaa na marafiki wa
wanafunzi waliokuwa katyika meli hiyo wanatizama kupitia televisheni
picha
za meli hiyo ilipozama
za meli hiyo ilipozama

Wanafunzi wengi waliokolewa
kupitia mashimo yaliyo kando ya meli hiyo huku wengine wakiruka baharini
katika jitihada za kuokoa maisha yao
katika jitihada za kuokoa maisha yao

Inaarifiwa zaidi ya watu miatatu
hawajapatikana , wengine 164 waliweza kuokolewa na watu wawili
wamethibitishwa kufariki
wamethibitishwa kufariki
0 comments: