SIGARA NA POMBE ZINAAMBUKIZA SARATANI habari kamili isome hapa by tuntu baby
by tuntu baby
Taasisi ya utafiti wa kimataifa kuhusu ugonjwa wa saratani katika shirika la WHO lilionya kuwa gharama ya matimabu inaongezeka kwa kiwango ambacho ni vigumu kumudu.
Taasisi hiyo imesema serikali zinahitajika kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu matumizi ya pombe na sukari kama vile kuongeza bei na marufuku ya matangazo ya kibiashara ya bidhaa hizo
shirika la afya duniani laonya kuhusu matumizi ya pombe na sigara kuwa husababisha maambukizi ya saratani

Uraibu wa pombe na sigara husababisha saratani
Shirika la Afya duniani WHO
limeonya kuhusu kuibuka kwa wimbi baya la maambukizi ya ugonjwa hatari
wa saratani kote duniani. Shirika hilo limesema nusu ya maambukizi ya
saratani yanaweza kuzuiwa na kwamba juhudi mpya zinastahili kufanyika
ili kukabiliana na tatizo la kunenepa kupita kiasi, ulevi na uvutaji
sigara.
Watu milioni kumi na nne wanajulishwa kuwa
wanaugua saratani kila mwaka, lakini idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka
na kufikia milioni ishirini na nne katika kipindi cha miongo miwili
ijayo.Taasisi ya utafiti wa kimataifa kuhusu ugonjwa wa saratani katika shirika la WHO lilionya kuwa gharama ya matimabu inaongezeka kwa kiwango ambacho ni vigumu kumudu.
Taasisi hiyo imesema serikali zinahitajika kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu matumizi ya pombe na sukari kama vile kuongeza bei na marufuku ya matangazo ya kibiashara ya bidhaa hizo
0 comments: