TAZAMA PICHA ZA AJALI YA LORI LILILOGONGA NA KUUA WAFANYAKAZI WATATU WA MASAVA HAPA MOROGORO LEO JIONI HII by nasanyo fortnine

 watu walijazana kibao kushuhudia ajali hiyo hadi njia ya kupita ikawa imezibwa kutokana na msururu wa watu




 winchi la kwanza lilijaribu kuinua lori hilo lakini likashindwa ikabidi liongezeke lingine
 winchi likijaribu kuinua ili kuona miili mingine ya marehemu na kujua idadi ya waliofukiwa

 mwili mmoja wapo wa marehemu hao


 lori likiwa limejifunika huku chini kukiwa na watu



 sehemu hii nayo alikutwa marehemu mmoja akiwa ametupwa hapo

lori hili limesababisha vifo vya watu watatu kwa habari za haraka huku uchunguzi ukiendelea

0 comments:

Copyright © 2014 NASANYO BLOG