KITUKO:: BINTI AKUTWA AMELALA KWENYE KABATI LA CHIPSI, NI KWELI JIONEE PICHA ZA TUKIO

"Dada akutwa kalala kwenye
kabati ya chips maeneo ya Yombo
Vituka leo asubuhi. Muuza chips
alifunga kabati na kufunga eneo
lake la biashara kwa kufuli kisha
akaenda kulala. Asubuhi
alipofungua ndipo akamkuta
mwanadada amelala juu ya chips
na mishkaki akiwa hajitambui.
Bado haijajulikana aliingiaje
maana hakuweza kuongea baada
ya kutolewa.!"
Share

0 comments:

Copyright © 2014 NASANYO BLOG