AJALI YA NDEGE ; OBAMA AONGEA HAYA KUHUSU AJALI HIYO by nasanyo fortnine
by nasanyo fortnine
Rais Barrack Obama amesema kuwa ushahidi unaonyesha kwamba ndege ya Malaysia Airline iliokuwa ikisafiri kutoka Amstaderm kuelekea Kuala Lumpur ilitunguliwa na kombora lililorushwa kutoka eneo linalodhibitiwa na waasi wanaounga mkono Urusi.
Rais Obama amesema kuwa kitendo hicho kinatia
hasira na kwamba waasi hao wamekuwa wakipokea usaidizi kutoka kwa Urusi
ikiwemo makombora ya kuangusha ndege.
Obama ametaka usitishwaji wa vita nchini Ukraine ili kutoa fursa ya shirika huru la kimataifa kuchunguza kilichojiri.

Rais Barrack Obama

0 comments: