MATESO ANAYOYAPATA MTOTO HUYU NI HATARI ANAOMBA MSAADA by nasanyo fortnine
UKISEMA wewe unateseka inawezekana hujawaona wanaoteseka. Kijana
Peter Andrea (23) mkazi wa Mlandizi, Bagamoyo, Pwani anaishi kwa mateso
ya tumbo kuvimba kwa miaka 13 sasa huku akishindwa kusoma na kutekeleza
ndoto za maisha yake ya baadaye.
Kijana Peter Andrea akiwa na uvimbe tumboni kwa miaka 13
Akizungumza kwa uchungu na Amani kuhusu
mateso anayoyapata kwa kipindi
chote
hicho, Peter alisema matatizo hayo
yalianza kumkumba akiwa na miaka 10
tangu kuzaliwa.
Alisema hali hiyo ilianza kwa kila siku
akiamka kujikuta amevimba mwili,
siku nyingine amevimba uso mpaka
akafika hatua tumbo likashika nafasi
ya moja kwa moja. “Nilikuwa
nikiamka asubuhi najikuta nimevimba mwili,
mara uso. Ikafika wakati
tumbo nalo likavimba. Nimezunguka kwa madaktari
tofauti na mama kipindi
akiwa hai kwa bahati nzuri nikapona. Lakini nilikaa
Kijana
Peter Andrea
akiwa na Baba yake mzazi.
alisema Peter na kuongeza: “Baada ya mama
kufariki dunia nikawa
naishi maisha ya kuzunguka na kuomba msaada kwa
watu bila mafanikio.
Mwaka 2013 nilipata msaada kutoka kwa Mkuu wa
Wilaya ya Kibaha,
akanipeleka Hospitali ya Taifa Muhimbili (Dar) ambapo
nilifanyiwa vipimo
na kugundulika nina matatizo kwenye ini, nikapewa dawa na kuhudhuria kliniki
“Baada ya vipimo vya mwanzo nilirudia tena kwa mara nyingine, niligundulika pia
na kugundulika nina matatizo kwenye ini, nikapewa dawa na kuhudhuria kliniki
“Baada ya vipimo vya mwanzo nilirudia tena kwa mara nyingine, niligundulika pia
mkojo. Niliumia sana, niliia sana. Niliambiwa nikatumie dawa za mitishamba
halafu niwe nakwenda kupima lakini nimetumia dawa.
hizo mpaka sasa sioni dalili yoyote ya kupona.”
Akaendelea: “Ninawaomba Watanzania wenzangu wajitokeze kunisaidia nipone
Akaendelea: “Ninawaomba Watanzania wenzangu wajitokeze kunisaidia nipone
kwani sijabahatika kusoma tangu nikiwa mdogo,
nimejitahidi kusoma elimu ya watu wazima (Memkwa) nimeishia darasa la pili,
nimejitahidi kusoma elimu ya watu wazima (Memkwa) nimeishia darasa la pili,
nawaomba mnisaidie jamani nateseka sana na haya
magonjwa karibu manne.”
ANAHITAJI MSAADA
Kama umeguswa na mateso ya Peter na unahitaji kumsaidia, wasiliana naye kwa
magonjwa karibu manne.”
ANAHITAJI MSAADA
Kama umeguswa na mateso ya Peter na unahitaji kumsaidia, wasiliana naye kwa
simu namba 0716 782 682 au 0659 690 968
0 comments: