683 WAHUKUMIWA KIFO HUKO MISRI HABARI KAMILI HII HAPA by nasanyo fortnine

Mahakama nchini Misri hii leo
imetoa hukumu ya kifo kwa watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa vugu
vugu la Muslim Brotherhood.
vugu la Muslim Brotherhood.

Jali alipokuwa anatoa hukumu,
jamaa na familia za watuhumiwa walikuwa nje ya mahakama tayari kupokea
hukumu dhidi ya wapendwa wao
Bila shaka haikuwa habari njema,
watuhumiwa wote 683, walihukumiwa kifo. Punde baada ya kupokea
hukumu dhidi ya wapendwa wao

habari
hiyo, baadhi ya wapendwa wao walizirai wasihimili uchungu

Hukumu ya kifo kwa kawaida
haitekelezwi nchini Misri. Mahakama moja tayari imewabatilishia wafungwa
wengine hukumu hiyo na kuifanya hukumu ya maisha jela na bila shaka wengi wanasema huenda na wale
waliohukumiwa kifo leo pia wabatilishiwa hukumu yao.
wengine hukumu hiyo na kuifanya hukumu ya maisha jela na bila shaka wengi wanasema huenda na wale
waliohukumiwa kifo leo pia wabatilishiwa hukumu yao.

Ilisalia kuwa dua na maombi kwa watuhumiwa kwa serikali kuwabatilishia hukumu yao.
0 comments: