THE DEEPEST OF LOVE SEASON 1 EPSOD 1 BY SCOLA GIRL TZ ENJOY.......
Upande Wa Pili Kulikua Na Mzee Mmoja Aliyefahamika Kwa Jina La Boniface. Mzee Bon Alibahatika Kuwa Na Mke Na Watoto Wawili Wote Wa Kike Wa Kwanza Aliitwa Clara Na Wapili Aliitwa Penny. Hakika Familia Ya Mzee Bon Ilkua Ni Familia Ya Furaha Wakati Wote. Mzee Bon Alikua Akitambulika Kwa Kuwa Na Maduka Makubwa Ya Bidhaa Mbalimbali Nae Alikua Miongoni Mwa Watu Waliokua Maarufu Katika Jiji La Dar Esaalam. Mke Wa Mzee Bon Aliitwa Doreen. miaka Ikasonga Mbele Clara Akapelekwa Shule huku mdogo wake akiwa bado hajafika umri wa kuanza shule mzee Bon na familia yake walikuwa wakiishi tandika na mzee Samson alikuwa akiishi temeke magorofani..
Mzee Bon Alimpeleka Binti Yake Katika Shule Ya mtu Binafsi Iliyoitwa St.Mary Iliyoko Jijini Dar. huku Na Mzee Samson Alimpeleka Mwanae Kipenzi Katika Shule Hiyo Hiyo. Wakiwa huko Walisoma Kwa Bidii Sana Wote Walikua Wakikaka Bwenini. Calvic Na Clara Walikua Wakitikisa Sana Darasa Kwa Kuongoza Kunawakati Walikua Wakigongana Alama.Hatimaye Miaka Ikazidi Kwenda Na Watoto Wakazidi Kukua Kiakili Na Kimwili. Hatimaye Wanafanikiwa Kuingia Darasa La Saba. Clara Na Calvis Walipendana Sana Na Mda Wao Mwingi Waliutumia Katika Kusoma.
Siku Moja Clara Akiwa Na Rafiki Zake Katika Uwanja Wa Michezo Wakipiga Stori Mara Akatokea Rafiki Yake Calvis Aliyeitwa Hamidu Akawita Clara. Clara Alipoitika huku Hamidu Akiwa Na Uso Wa Uzuni. Clara Alimfuata Hamidu Na Kumuuliza Kwanini Mpweke. "Calvis Amedondoka Kiwanjani Na Anavuja Damu simchezo Kiujumla Hali Yake Ni Mbaya Sana Alisema Hamidu." (Unazungumza Nini?) Aliuliza Clara Kwa Mshangao huku Macho Kayatoa. Hamidu Alishindwa Kuendelea zaidi Ya Kumtazama Nae huku Akilengwa Na Machozi. Clara Akatoka Mbio Kuelekea Kwenye Kiwanja Ambako Calvis Alikodondokea Anafika tu Pale Na Calvis Ndio Anaingizwa Ndan Ya Gari La Wagonjwa.Je nini kitaendelea usikose kesho...
0 comments: