MAMBA AZIDIWA NA CHATU JIONEE MTANANGE HAPA by tuntu baby


Nyoka huyo alijipinda kwa Mamba na kumbana hadi akafa
Nyoka alimvuta Mamba na kumtoa ndani ya Maji

Chatu huyo alianza kumla Mamba na kushangaza wakazi

Baada ya mlo huo mkubwa Nyoka alijiendea zake
0 comments: