Prod Duppah afunguka na kusema anaibiwa baadhi ya SING zake na nembo ya touch recordz msome hapa.. by tuntu baby

  Mmiliki wa studio ya Touch one recordz yenye makazi yake jijini dar es salaam..Aliye tengeneza nyimbo mpya ya CRISS WA MARYA iitwayo USINIHUKUMU...afunguka juu ya mtu asiye mfahamu kiundani kutumia moja ya sing zake kwenye ngoma zao na kuendelea kuzusha kuwa touch ipo kilombero nasii dar. Duppah;"Nashangaa mtu anakaa chini na kutumia ubunifu wa mwenzie jina niliachilia mbali nw wanatumia hadi sing zang ..." Producer huyo alimaliza na neno hili.."mimi ni maji watanigoga tu
watanzania tunaenda wapi jamani badala ya kubuni mambo tunakopi na kufanya ya kwetu kweli jamani

0 comments:

Copyright © 2014 NASANYO BLOG