HAYA NDIYO ALIYOYASEMA DIVA LOVENESS LOVE YASOME HAPA ..by tuntu baby


CHEKI DIVA LOVENESS ALIVYOMCHANA STARLISHA KIANA KWA KUANIKA MESSAGE PRIVATE ZA PREZZO MTANDAONI



Mtangazaji matata wa Clouds Fm Anayejulikana kwa jina la Loveness Diva jana usiku katika kipindi chake Alifunguka kiana kuhusu wapenzi wanapogombana na kuanza kuweka mitandaoni Private Message walizokuwa wanatumiana wakiwa ndani ya
Mapenzi...Aliwaasa wakina dada waache huo mchezo kwani ni kujiabisha mbele ya jamiiii ..kwani inafika mahali mpaka unasema jinsi maumbile ya mpenzi wako yalivyo...Hili linaonekana ni ndogo kiana kwa Mwanadada Starlisha a.ka Chagabibie Ambae Jana Ilikuwa Gumzo mitandaoni Baada ya Kuweka Conversation zake na Prezzo Aliyekuwa Mpenzi wake na kufikia kumwita Kibamia ...
Je wewe unasemaje ...ni sahihi kuweka private msg za mpenzi wako online baada ya kuachana   by tuntu baby





TOA MAONI YAKO HAPA CHINI.....

0 comments:

Copyright © 2014 NASANYO BLOG