Waliotaka kuzamia ulaya safari yao yakumbwa na janga zito baharini na hizi ni baadhi ya picha zikionyesha hao wazamiaji walivyokumbwa na tatizo hilo...yote na Nasanyo fortnine
wazamiaji waliokuwa katika boti kuelekea ulaya wakumbwa na balaa wakiwa katika kisiwa cha Lampedusa baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuwaka moto na kuwafanya wazamiaji hao kukosa kuendelea na safari kisiwa cha Lampedusa cha julikana kama kitovu cha wahamiaji kuingilia inchini utaliani na ulaya kwa ujumla safari za wahamiaji hao huwa haziishi wahamiaji hao wengi wao kutoka somalia na erritrea inapokuwa hali ya kibinadamu inapokuwa si nzuri
miili ya marehemu waliokuwepo kwenye boti hiyo ikiwa tayari imeokolewa
baadhi ya walionusurika na ajali hiyo wakipelekwa hospital
naomba radhi picha hazionyeshi vizuri

miili ya marehemu waliokuwepo kwenye boti hiyo ikiwa tayari imeokolewa
baadhi ya walionusurika na ajali hiyo wakipelekwa hospital
naomba radhi picha hazionyeshi vizuri
0 comments: