nasanyo natoa pongezi kwa hawa watu kwa kuzaliwa tarehe na mwezi kama huu wa leo na hizi ni picha zao
happy birthday kwa wale wote mliozaliwa leo na mungu awabariki na awaongezee maisha ya neema na awajaze imani mioyoni mwenu ningependa niweke picha zenu wote ila nimeshindwa kwani nimefanikiwa kupata hizii tu chache za
-jerry mwangoka
-silla mfugare
-alex madhulu
-hiza mpare


0 comments: