Hizi ni picha zinazomwonyesha shilole akiwa jukwaani anavyofanyiwa mambo ya ajabu na mashabiki wake anaowaita kucheza nao
Shilole ni msanii wa mziki na muigizaji awashangaza watu kwa staili yake ya uchezaji kila shoo zake za fiesta kwa kucheza na mashabiki wake na kuwaruhusu kumfanya chochote watakacho na hizi ni baadhi ya picha zake zinazokemewa
0 comments: